Monday, August 29, 2011

Shaa - Crazy (Official Video HQ)

Young ChaliZ ft Tunda Man - Dezo Dezo (Official Video HQ)

Sunday, August 14, 2011

Lord Herry2 Slideshow

Lord Herry2 Slideshow: "TripAdvisor™ TripWow ★ Lord Herry2 Slideshow ★ to Dar es Salaam. Stunning free travel slideshows on TripAdvisor"

Wednesday, August 10, 2011

PETRO POBLEM IN DAR


Kazi ya utoaji wa uduma ya mafuta ilikuwa ngumu mpaka askari wa kutuliza fujo (FFU) malipo kuja na kusimamia zoezi zima la utowaji mafuta hayo ya petrol ambapo kwa kipindi hiki cha siku tatu ilikuwa adimu kwa baadhi ya wenye vyombo vya moto

Madereva wa vyombo mbali mbali wakiwa katika foleni ya mafuta katika kituo cha petro mbagala rangi tatu ni kituo pekee ambocho kilikuwa kinauza tangu mgomo wa wamiliki wa vituo vya mafuta uanze kwa kutaaa bei mpya ya mafuta iliyopangwa na ewura ambalo ni shirika la udhibiti wa bei ya nishati nchi ambalolilitoa bei mpya ya mafuta ya petrol,diseal na mafuta ya taa tarehe 3 august 2011


Foleni haikuwa ndogo hasa kwa wenye vidumu na ambao walikuwepo hapo kupata huduma hiyo kwa matumizi ya vyombo vyao vya moto ikiwemo wenye magenerator

Wenye pikipiki hawakuwa nyuma nao maana ilikuwa foleni ya ajabu utasema miaka ile ya 70's ambapo wzazi wetu walikuwa wanasubili magari ya ushirika kwa ajiri ya sukari na huduma nyingine muhimu