Rahim akiwa na Jazzywizzy wa Lete pro studio huko mbezi katika mataarisho ya video yake
C.E.O wa lete pro's a.k.a Dj capaster akiwa na msanii rahim katika mataarisho ya video mpya ya rahim ndani ya lete pro studio mbezi
Dj capaster the C.E.O akimpamaelekezo mawili matatu msanii rahim jinsi shooting itakavyokuwa
Dj capaster akiwa kazini katika studio za lete pro's
dj capaster wa lete pro's akiwa kazini

Check out new Lete production studio ndani ya mbezi tangibovu kukiwa ma camera man na producer wa ukweli kabisa waliobobea katika swala zima la production ya video na audio


