Tunaweza group watoa ngoma zao mbili ambazo zinampa mtetea mwanamke na kumpa support katika mazingira magumu ya unyanyasaji yanayowakabili wanawake. moja ya ngoma hiyo ni nasimama ambayo imetengenezwa na producer dunga katika studio ya barefoot recordz
director wa lete pro justin david na capaster wakiwa kazini kuchukuwa matukio ndani ya video ya nasimama
lady fire akiwa katika pozi ya mataarisho ya video mpya kabisa ya kundi lao tunaweza
mama c katika video ya paoja tunaweza
dunga na justin david nyumbani kwa mama c
producer dunga ambaye ametengeneza ngoma zote mbili za tunaweza group
mama c na mumewe wakati wa ujana wao ndani ya A town
mama c akiwa katika moja ya shooting ya nasimama
Tunaweza group wakiwa katika shooting ya video yao ya kwanza kabisa inayoitwa nasimama
No comments:
Post a Comment