Tuesday, June 28, 2011
Monday, June 27, 2011
TAMU,CHACHU NA CHUNGU YA DAR ES SLAAM
Wakazi wa Dar es salaam wanasema ''mjini shule, shamba kilimo, dar inawatu wakila sampuli , kwa ujumla watu wake ni wakarimu sana na wanapenda kusaidia wenzao. Lakini chunga sana kuna vibaka. Avumaye baharini ni papa lakini kuna wengine nao wamo.....vibaka hawa walio wengi ni wanaume lakini wapo pia wanawake waliokubuhu kwa kamchezo haka usidanganyike hii ndio bongo dar es salaam
RAHA NA KARAHA YA DALADALA
Bila daladala hujaizungumzia Dar es salaam zinakula vichwa vya maana, utamsikia konda akisema ''gari haijai, inajaa ndoo ya maji oyaa,ingia na viatu humo , siti za kulala '' wakati anasema hivyo basi limefurika hadi mlangoni na baada ya hapo linakimbia kwa kasi ya kufa mtu.Ni usafiri wa kila mtu wakubwa, kwa wadogo,wake kwa waume. Maeneo mengine utasikia mtu anasema ''nina miaka mitano sijawahi kupata siti'' usishangae ni kweli kuna mida ya hatari basi haijasimama ishajaa, usiulize wamepitia wapi, jibu ni dirishani ! lakini pamoja na yote hayo tunaenjoy usafiri wetu
Saturday, June 25, 2011
MY LIFE
Je wajua? kwanini naitwa lord herry au basi ukitaka kujua kaa tayari kwa mkao wa kula iliupate kujua kwanini naitwa hivyo
kazi yoyote inaitaji mapumziko hapo nikiwa mapumzikoni nda ya water world kunduchi
kwa kweli ilikuwa kazi nzito maana si wajukuu tu ila hata vilembwe na vitukuu vya mzee kawawa walikuwepo kuanzia kulia ni camila,lisa,sada,yanina,sophie,chiku walpha
Hpo madada wamepozi baada ya kuchoka katika zoezi zito la kutaarisha nyimbo ya kumuenzi babu yao mpendwa hayati mzee rashid m kawawa,kuanzia kulia ni lisa,sada,yanina na walpha
Bias basketball team nikiwa napata mazoezi ndani ya mbagala
Nikiwa na amina ibrahim ma first lady tukiwa tumepozi ndani ya maeneo ya ofisi
Nikiwa maeneo ya Sea cliff
Hahahahaha!! long tym nikiwa na Linda,xClacker,Hadiatou, ndani ya dikidiki A
Nikiwa na wakali wa bongo fleva AT na Gelly wa Rymth ,xclacker,Jimmy,Ibrah na Ashraf ndani ya mlimani city kwa Best director in bongo Video mzee wa Visual lab Adm juma
Kama kawaida nipo na mdau mwenzangu wa blog hii Festo ilikuwa chrismass mwaka jana ndani ya house yani ilikuwa full kula bata mpaka kukiangalia msosi
kama kawaida bata ndo penyewe hapa ni full ilikuwa birthday ya Hadiatou aliyevaa sweta jeupe ndani ya soweto alikuwa anatimiza miaka 18 kama kawaida mzee wa kujichanganya nilikuwepo
Nkiwa zangu engosheratoni snake park ndani ya Arusha kuaziana kulia ni Tunu,Yanina,Walpaha,Mama Hadija,Anty Sophi kama kawaida lord herry Erick,Norbert,Brian na huko nyuma ni hadiatou
Ilikuwa mwaka 1996 nikiwa A town na binamu zangu ndani ya tarangire national park kuanzia kushoto ni rashid,Adam,lord herry,Erick,Daniel,sophi na Cecilia
Hapa nikiwa na babu mzee Rashid M Kawawa miaka ya 90 katika harusi ya mmoja ya mama yangu mdoko mungu maraze mahara pepma peponi Amin...
Hapo ilikuwa miaka ya 90 familia tukiwa tumekusanyika kwa babu yetu mpendwa mzee Rashid M Kawawa msasani,ukianzia picha ya juu utaniona kushoto nikichungulia kwa mbali sana wakati picha ya chini ukianzia upande wa kilia nimegeuka nyuma nikifuatiwa na binamu yangu hadiatou,Faraji,Erick palangyo,Richard pallangyo,sophia,norbert kea,modu,mzee,Adam toure ilikuwa mjumuiko wa ukweli

MDAU WETU WA BLOG
Thursday, June 23, 2011
Wednesday, June 22, 2011
Ujio Mpya Wa Blog Mpya.. Ni......
Huu ni ujuo upya wa blog ya ukweli kabisa ya www. herrylord3.blogspot.com ikiwa kama blog ya jamii itagusa nyanja mbali mbali katika jamii ikiwa kama kioo katika kuleta habari na matukio ya uhakika kabisa.
kaa tayari kwa kupata habari na matukio kutoka kwa blog ya uhakika.
nikiwa ka creator wa hii blog naomba ushirikiano wenu katika kupata habari na taarifa za uhakika

Subscribe to:
Posts (Atom)