Je wajua? kwanini naitwa lord herry au basi ukitaka kujua kaa tayari kwa mkao wa kula iliupate kujua kwanini naitwa hivyo
kazi yoyote inaitaji mapumziko hapo nikiwa mapumzikoni nda ya water world kunduchi
kwa kweli ilikuwa kazi nzito maana si wajukuu tu ila hata vilembwe na vitukuu vya mzee kawawa walikuwepo kuanzia kulia ni camila,lisa,sada,yanina,sophie,chiku walpha
Hpo madada wamepozi baada ya kuchoka katika zoezi zito la kutaarisha nyimbo ya kumuenzi babu yao mpendwa hayati mzee rashid m kawawa,kuanzia kulia ni lisa,sada,yanina na walpha
Bias basketball team nikiwa napata mazoezi ndani ya mbagala
Nikiwa na amina ibrahim ma first lady tukiwa tumepozi ndani ya maeneo ya ofisi
Nikiwa maeneo ya Sea cliff
Hahahahaha!! long tym nikiwa na Linda,xClacker,Hadiatou, ndani ya dikidiki A
Nikiwa na wakali wa bongo fleva AT na Gelly wa Rymth ,xclacker,Jimmy,Ibrah na Ashraf ndani ya mlimani city kwa Best director in bongo Video mzee wa Visual lab Adm juma
Kama kawaida nipo na mdau mwenzangu wa blog hii Festo ilikuwa chrismass mwaka jana ndani ya house yani ilikuwa full kula bata mpaka kukiangalia msosi
kama kawaida bata ndo penyewe hapa ni full ilikuwa birthday ya Hadiatou aliyevaa sweta jeupe ndani ya soweto alikuwa anatimiza miaka 18 kama kawaida mzee wa kujichanganya nilikuwepo
Nkiwa zangu engosheratoni snake park ndani ya Arusha kuaziana kulia ni Tunu,Yanina,Walpaha,Mama Hadija,Anty Sophi kama kawaida lord herry Erick,Norbert,Brian na huko nyuma ni hadiatou
Ilikuwa mwaka 1996 nikiwa A town na binamu zangu ndani ya tarangire national park kuanzia kushoto ni rashid,Adam,lord herry,Erick,Daniel,sophi na Cecilia
Hapa nikiwa na babu mzee Rashid M Kawawa miaka ya 90 katika harusi ya mmoja ya mama yangu mdoko mungu maraze mahara pepma peponi Amin...
Hapo ilikuwa miaka ya 90 familia tukiwa tumekusanyika kwa babu yetu mpendwa mzee Rashid M Kawawa msasani,ukianzia picha ya juu utaniona kushoto nikichungulia kwa mbali sana wakati picha ya chini ukianzia upande wa kilia nimegeuka nyuma nikifuatiwa na binamu yangu hadiatou,Faraji,Erick palangyo,Richard pallangyo,sophia,norbert kea,modu,mzee,Adam toure ilikuwa mjumuiko wa ukweli
No comments:
Post a Comment