Tumepokea kwa udhuni na majonzi makubwa taarifa ya kifo
cha mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania na Africa ya mashariki
marehemu mzee Muhidin Maalimu Gurumo Kilichotokea leo 13.04.2014 huko
nyumbani Tanzania.Pamoja na kuwa mbali na nyumbani bendi ya muziki wa
dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchini Ujerumani inaungana na
watanzania wote popote pale katika kuomboleza msiba huu.
Tunatoa pole zetu kwa bendi ya Msondo Ngoma pamoja na familia ya marehemu,mwenyezi mungu
amlaze mahala pema peponi marehemu Mzee Muhidin Maalim
Gurumo (RIP)
Amin
Tunatoa pole zetu kwa bendi ya Msondo Ngoma pamoja na familia ya marehemu,mwenyezi mungu
amlaze mahala pema peponi marehemu Mzee Muhidin Maalim
Gurumo (RIP)
Amin
No comments:
Post a Comment