Nikiwa na Dj choka back stage baada ya show
Nikiwa na kassim mganga amabapo alisindikiza mpambano wa nani mkali kati ya roma mkatoliki na Izzo B ndani ya dar live
Roma akipiga show ambayo ilimaliza ubishi wa nani mkali kati yake na Izzo B nakumfunika mbaya Izzo B katika show hiyooo
Dj choka ndo alikuwa dj wa roma ndani ya pambano hilo akiwa anafanya mix za truck za roma
Izzo B akipiga show ndani ya dar live kujua nani mkali kati yake na roma mkatoliki
Hahahaha!!! huyo anaitwa KR mullah akiwa anafagia ili kassim mganga apige show ufagizi huo ulikuwa wa kipekee kama unavyoona hapo
No comments:
Post a Comment