Saturday, March 3, 2012

TUNAWEZA GROUP WATOA VIDEO YA TUNAWEZA NA NASIMAMA

Tunaweza group watoa ngoma zao mbili ambazo zinampa mtetea mwanamke na kumpa support katika mazingira magumu ya unyanyasaji yanayowakabili wanawake. moja ya ngoma hiyo ni nasimama ambayo imetengenezwa na producer dunga katika studio ya barefoot recordz


director wa lete pro justin david na capaster wakiwa kazini kuchukuwa matukio ndani ya video ya nasimama

lady fire akiwa katika pozi ya mataarisho ya video mpya kabisa ya kundi lao tunaweza
producer dunga akiwa katika shooting ya nasimama














mama c katika video ya paoja tunaweza

dunga na justin david nyumbani kwa mama c































producer dunga ambaye ametengeneza ngoma zote mbili za tunaweza group

mama c na mumewe wakati wa ujana wao ndani ya A town

mama c akiwa katika moja ya shooting ya nasimama


Tunaweza group wakiwa katika shooting ya video yao ya kwanza kabisa inayoitwa nasimama

No comments:

Post a Comment