Tuesday, November 22, 2011

26NOV ANTVIRUS A.KA. VINEGA

Ni 26 nov ndani ya uwanja wa ustawi wa jamii kijitonyama kwa mara ya pili tena antivirus a.k.a vinega watakuwa hapo katika uzinduzi wa antirus ikiongozwa na mbunge na muhasisi wa bongo fkeva mr sugu akiwa na Adili hisabati ndani suma G,Rama D ,Mkoloni,Danny msimamo,Mapacha na wengine kibao, ni siku ya jumamosi viwanja vya ustawi wa jamii so kwa wale wote wapenzi wa antivirus bila kukosa hiyooo,nikiwa kama kinega member nitakuwepo so don't mic this
















No comments:

Post a Comment