Wednesday, July 6, 2011

KOMPUTER




Ki ukweli watanzania tunapenda sana teknolojia ya computer ingawa uwekezaji wake katika sekta hii ya dunia ya sasa na ya baadaye umekuwa mdogo sana leo hii ukiangalia kila kitu tunachofanya katika dunia hii lazima uhusishe computer,
Sekta hii ambayo imekuwa mchango mkubwa katika nchi nyingi zilizoendelea na zinazoendelea.Leo hii nchi kwetu mtu anamaliza chuo lakini matumizi ya kifaa hiki muhumu hajui kukitumia si tu yule ambaye hajawahi hata kusoma bali hata yule ambaye alisoma theory ya kifaa hiki ambapo mtahara wake ni ule wazamani kabisa hata wenzetu wameshauwacha kuutumia...kifaa hichi ambacho kiliazishwa katika miaka ya 1940's na kikawa kinaboreshwa katika miaka tofauti..mitahara tunayotumia ni yazamani sana kiukweli nalia na uwekezaji mbovu wa serikali katika sekta hii muhimu sana kama tukianziachini basi nasi tutakuwa na bill gate wetu na kama sio bill gate hata mark zuckerberg wetu...

1 comment: